Monday, 10 February 2020

Nikupee Number bure na Safaricom Waliniuzia?!?!

kenya crazy memes
Kenya funny memes 
Hehehe... Madame hapo mmetuweza. Sasa tuanze kununua hizo number ama?

Saturday, 8 February 2020

This is Why Kenya is Still Poor

Crazy meme today

Sasa nani aliroga wakenya? When the rest of the world is talking mula, sisi we are here talking about tuvae ama tusivae. Na chenye kinavaliwa ata maybe wengine hawaafford.